JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2023

Yanga yaachana na mshambuliajie wake Yacouba Sogne

Klabu ya Yanga imeachana na mshambuliaji wake wa Kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Sogne (31) baada ya nyota huyo kumaliza mkataba wake. Sogne ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwaaga wana Yanga; “Ulikuwa wakati mzuri tangu tulipokuwa pamoja mpaka sasa…

Kamati Kuu CCM yateua wajumbe wapya

Kamati Kuu ya Halmashauri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeteua wajumbe wapya saba kutoka Tanzania Bara na Zanzibar pamoja na sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC). Akitoa taarifa ya kikao hicho leo Januari 14, 2023, Shaka Hamdu Shaka ambaye…

Katibu Mkuu DP aishauri Serikali kuanzisha Wizara ya Umwagiliaji

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokratic Party (DP), Abdul Mluya amemuomba Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Wizara Mpya ya Umwagiliaji ambayo itajikita katika kuhakikisha inajibu hoja za sekta ya umwagiliaji. Hayo ameyasema Dar es Salaam Januari…

Wanne wa familia moja wafariki kwa ajali

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Morogoro Watu wanne wa familia moja wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Kwambe Point A Dumila, wilayani Kilosa mkoani Morogoro. Kamanda wa…

Wafanyabiashara Kinondoni walia miundombinu mibovu ya Masoko

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Wafanyabishara wa Masoko ya Kigogo,Magomeni na Makumbusho katika Manispaa ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam wameiomba Serikali kuwatatulia kero zinazowakabili ikiwemo uchakavu wa Miundombinu ya Maji taka,pamoja na huduma zingine Muhimu kama vile kukosa sehemu ya Kuhifadhi…