JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2023

CHADEMA: Sheria iliyopo inafifisha uhuru wa vyombo vya habari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),kimesema sheria iliyopo inafifisha uhuru wa vyombo vya habari katika kutekeleza majukumu yao hasa katika kipindi hiki ambacho mikutano ya hadhara imeruhusiwa, jambo ambalo litawanyima fursa ya kutekeleza majukumu yao. Hayo yamebainishwa…

‘Kukiwa na demokrasia vyombo vya habari vitakuwa huru’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema, uhuru wa vyombo vya Habari hukuza demokrasia Nchini Ametoa kauli hiyo akizungumza na baadhi ya waandishi leo Januari 16,2023, jijini Dar es Salaam. Amesema…

Majaliwa:Kuna Watanzania wachache wasiokuwa na nia njema na mbolea

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wananchi kuwa walinzi wa mbolea ya ruzuku iliyotolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuhakikisha inatumika kwa malengo yaliyokusudiwa ya kuongeza uzalishaji wa mazao katika msimu wa 2022/2023 litimie. Amesema kuwa kumekuwa na Watanzania…

Mjema asisitiza kazi kubwa ni kuelezea uzuri wa CCM

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Idara ya Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema amewasili Ofisini kwake Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam leo Jumatatu Januari 16, 2023. Mjema akizungumza…

Padri auawa kwa kupigwa risasi

Watu wasiofahamika wakiwa na silala wamemuua kwa kumpiga risasi padri Padri Isaac Achi wa Kanisa la Katoliki nchini Nigeria. Kasisi huyo ameuawa katika parokia yake kaskazini mwa Nigeria, kisha kuchoma moto kanisa katika kijiji cha Kafin Koro . Mwili wa…

UWT wampa kongole Rais Mwinyi kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar

Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 16 Januari 2023 amekutana na Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Ikulu Zanzibar. Uongozi wa Jumuiya hiyo ukiongozwa na Mwenyekiti wa…