JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2023

‘Serikali kuwachukulia hatua waajiri wanaondesha mashauri bila kuzingatia sheria’

Na Veronica Mwafisi,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amesema Serikali haitosita kuwachukulia hatua waajiri katika taasisi za umma ambao watabainika kushughulikia mashauri ya kinidhamu ya watumishi wa umma…

Mradi wa umeme wa Julius Nyerere wafikia asilimia 80.2

Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha umeme wa kiasi cha megawati 2,115 umefikia asilimia 80.2. Naibu Waziri Byabato ameyasema hayo Januari 17, 2023, wakati Wizara ya Nishati…

Soko la samaki Feri Dar lakabiliwa na mrundikano wa wafanyabiashara

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Soko la Kimataifa la Samaki Feri lililoko Kivukoni jijini Dar es Salaam linakabiliwa na changamoto ya kuwa na idadi kubwa ya wafanyabiashara zaidi ya 3000 huku uwezo wake halisia ni kuwa na uwezo wa kuhudumia wafanyabiashara wapatao…

Serikali yamaliza mgogoro wa ardhi bonde la Usangu uliodumu miaka 15

Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeumaliza mgogoro wa matumizi ya ardhi wilaya Mbarali mkoani Mbeya uliodumu kwa miaka 15 ambao ulihusisha wakazi wa wilaya hiyo katika eneo la Bonde la Usangu dhidi…

Maagizo ya Rais Samia kuimarisha uchumi yanavyotekelezwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Tanzania imejipanga kuchukua hatua katika kuhakikisha uchumi wake unaendelea kukukua pamoja na kusimamia urekebishwaji wa baadhi ya sera. Hayo katika mafunzo maalumu kwa wahariri wa vyombo mbalimbali kuhusiana na mwenendo wa uchumi wa dunia na namna…