JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2023

Nyasa,Mbinga wafanya msako kuwabaini wasiopelekwa shule

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Ruvuma Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya ya Nyasa na Mbinga zilizopo mkoani Ruvuma wamekemea baadhi ya wazazi wenye watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu ambao hawajawapeleka shule kwa visingizio mbalimbali visivyokuwa na msingi wawapeleke shule…

Ujenzi wa barabara uliokwama mwaka mmoja Mafia mbioni kukamilika

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Mafia Ujenzi wa kipande cha barabara ya ‘Kichangachui – Hatchery’ kinachojengwa kwa kiwango cha lami Mjini Mafia ambao ulikuwa umekwama kwa takriban mwaka mmoja, upo mbioni kukamilika. Ujenzi huo ulikwama kwa kipindi kuanzia Januari mwaka 2021 na unatarajiwa…

Ummy:Msiwaonee aibu wanaokiuka maadili ya kazi

Na Mwandishi Wetu-WAF,Dodoma Wenyevyiti na Wasajili wa Mabaraza na Bodi za Kitaaluma nchini wametakiwa kusimamia maadili ya wanataaluma ili kulinda jamii na huduma zinazotolewa kwa wananchi. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati wa kikao cha pamoja…

Serikali yatuma timu kuchunguza vitendo vya watoto kulawitiana

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dodoma Serikali imemwagiza Kamishna wa Elimu,Mkurugenzi wa Udhibiti ubora wa Elimu na Mwanasheria wa Wizara ya Elimu kufanya uchunguzi wa tukio la vitendo vya watoto kufundishwa kulawitiana katika baadhi ya shule nchini. Hayo yamesemwa na leo Januari…