JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2023

Majaliwa:Miradi 630 ya uwekezaji ya bil.3.68/- yasajilia na TIC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika mwaka wa fedha 2021/2022 miradi mipya ya uwekezaji 630 yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 3.68 inayotekelezwa na makampuni ya India imesajiliwa kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC). Amesema hatua hiyo inatokana na…

Wadau wa habari wasubiri kusikia jambo bungeni

Wadau wa habari wana shauku kubwa ya kusikiliza muswada wa sheria ya habari ukisomwa kwa mara ya kwanza katika Bunge la Januari hii. Akizungumza leo Januari 19,2023 jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),Deodatus Balile, amesemamwelekeo…

Tanzania na Kenya zajadili ushirikiano sekta ya umeme na gesi

Na Teresia Mhagama,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nishati,January Makamba pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania,.Isaac Njenga wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Kenya katika Sekta ya Umeme na Gesi. Mazungumzo hayo yamefanyika Januari 18, 2023 jijini Dodoma ambapo…

Rais Samia: Sekta ya kilimo kukua kwa asilimia 10 ifikapo 2030

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amesema sekta ya kilimo nchini inatarajiwa kukua kwa asilimia 10 ifikapo mwaka 2030 ukilinganisha na ukuaji wa sasa wa takriban asilimia 3.6.   Rais Samia amesema Tanzania imetengeneza fursa za kitaifa kwa ajili…

RC Dodoma azindua mradi wa afya ya uzazi kwa vijana

Mkoa wa Dodoma umezindua rasmi mradi unaoshughulikia masuala ya afya ya uzazi kwa vijana na wanawake unaojulikana kama Reproductive Equity Strategy in Tanzania (REST) unaoendeshwa na shirika lisilo la Kiserikali la Deutsche Stiftung Weltbevolkerung (DSW) Tanzania ambao utafanya kazi kwenye…