JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2023

Baraza la biashara Kibaha laonyesha mwanga wa mafanikio

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha Wawekezaji na wafanyabiashara wameaswa kuwa wazalendo kwa kulipa Kodi na kuwasilisha taarifa sahihi za biashara zao ili kuiwezesha Wilaya kupata Mapato yatakayotumika kujenga miundombinu na Maendeleo mengine Kisekta Rai hiyo imetolewa Muhammad Tundia ambaye ni Mwenyekiti za…

CHADEMA Lindi kushiriki mapokezi ya Lissu

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Lindi kimepanga kushiriki mapokezi ya makamu mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho upande wa Tanzania bara,Tundu Lissu.  Hayo yameelezwa leo Januari 20,2023 na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi, Zainabu Lipalapi wakati…

TMA yatoa angalizo kuwepo kwa upepo mkali

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA),imetoa tahadhari kwa wananchi wanaofanya shughuli zao katika bahari ya Hindi kuhakikisha wanachukua tahadhari kutokana na angalizo la kuwepo kwa vipindi vua upepo mkali. Kwa mujibu wa mchambuzi wa Hali ya Hewa kutoka TMA,Rose…

Serikali yafurahishwa na utendajikazi wa Yapi Merkezi,yaongeza mkataba

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tabora YAPI Merkezi, kampuni ya Uturuki iliyopewa kandarasi na Shirika la Reli Tanzania (TRC) imeanza kujenga awamu nne ya kipande cha reli ya kisasa (SGR) cha Tabora-Isaka kwa kufanya uzinduzi mkubwa ulioshuhudiwa na wageni waalikwa akiwemo Makamu wa…

Makamba:Serikali kuboresha maghala ya kuhifadhi mafuta

Na Godfrey Mwemezi,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nishati,January Makamba amesema kuwa serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kupata wawekezaji watakaojenga Ghala kuu la kupokelea mafuta kwa pamoja ili kuwezesha nchi kuwa na uhakika zaidi wa upatikanaji wa mafuta. Makamba ameyasema hayo tarehe…