JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2023

Rais Samia ateua Ma DC wapya 37 na kuhamisha wengine 48

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao.Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140,…

Wananchi wa Mugango-Kyabakari-Butiama kupata maji Juni mwaka huu.

Na Jovina Massano, Msoma. Mradi wa maji ya Ziwa Victoria  ulioanzishwa na Hayati baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere mwaka 1974 kutokea Musoma vijijini kuelekea wilayani Butiama mkoani Mara wafikia asilimia 73 .  Mara baada ya kukamilika kwa Mradi…

Waziri Gwajima ateta na uongozi wa NMB

Benki ya NMB imepata nafasi ya kutembelewa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum – Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam. Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Ruth…

Breaking News;Rais Samia atengua wakurugenzi, DC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua nafasi mbalimbali za viongozi wakiwemo nwakurugenzi na wakuu wa wilaya. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Januari 24,2023 Ikulu na kusainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikuku, Zuhura…

Polisi wakamata samaki waliovuliwa kwa baruti Dar

Jeshi la Polisi Kikosi cha Wanamaji mkoa wa Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa wawili kwa tuhuma za kukutwa na samaki KG 980 ambazo zilivuliwa ndani ya ndani ya boti yenye usajili wa namba Z.103585 jina MV MAEDRA. Kwa mujibu wa…