JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2022

Timu ya waogeleaji waipeperusha vyema Tanzania

Waogeleaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ya wanaume na wanawake (Tanzanite) wameipeperusha vyema bendera ya nchi baada ya kushinda mashindano ya Kanda ya tatu Afrika yaliyofanyika hivi kariibuni kwenye bwawa la klabu ya Dar es Salaam Gymkhana. Katika mashindano…

Wagonjwa 105 wagundulika kuwa na maambukizi ya COVID-19 Tanzania

Mtaalam na mbobezi wa masuala ya chanjo kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt.Caroline Akim amesema hadi kufikia Novemba 25 ,mwaka huu,Tanzania ilikuwa na wagonjwa wapya 105 waliogundulika na maambukizi ya Covid19. Ameeleza kundi la vijana wengi wao hawajachanja kwa…

TEF:Mchakato wa mabadiliko ya sheria ya habari una matumaini chanya

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),Deodatus Balile, amesema mchakato wa mabadiliko ya sheria ya habari una matumaini chanya baada ya Serikali kuchukua hatua na kuhakikisha kukamilisha mchakato huo. Balile amesema kuwa kwa hatua hiyo wadau wa…

Ziwa Nyasa kutumika kama ziwa Victoria

Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Ruvuma Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA nchini Mhandisi Clement Kivegalo amesema yeye ndiye aliyesimamia mradi mkubwa wa maji kuyatoa ziwa Viktoria na kuyapeleka kwenye mikoa yenye uhaba wa maji Amesema mradi kama huo unaweza kufanyika katika ziwa Nyasa na kupunguza…

Rais Samia awahimiza watunza kumbukumbu kuzingatia usiri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewaagiza watunza kumbukumbu kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa Sera, Sheria, Kanuni na Miongozo ya kiutendaji ndani na nje ya Serikali. Rais Samia ametoa agizo hilo leo wakati akifungua…