JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2022

Rais Samia aagiza kuundwa kikosi kazi cha kudhibiti matumizi nishati

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia,Dar Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Nishati Kuunda kikosi kazi kitakachoshughulikia sera za nishati mbadala ili kufikia malengo ya serikali yakutumia nishati safi ya kupikia. Raisi Samia ametoa agizo hilo…

Waitara kushiriki mashindano ya gofu Malawi

Na Meja Selemani Semunyu Wachezaji 12 wa Klabu ya Golf ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo wakiongozwa na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara wanatarajiwa kuondoka leo (Jumatano kuelekea Lilongwe Nchini Malawi kushiriki mashindano ya…

Koyi: Mimi ni Rais halali TCCIA

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Rais wa Chemba ya Biashara,Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), Paul Koyi amesema yeye ni kiongozi halali wa chemba hiyo kwa mujibu wa katiba. Koyi ametoa kauli hiyo siku moja tu, baada ya baadhi ya wanachama wa chemba…

Serikali yachukua tahadhari kujikinga na Ebola

Serikali imesema mtazamo wa nchi ni kuhakikisha ugonjwa wa Ebola uliopo nchi jirani ya Uganda hauingii nchini Tanzania. Kauli hiyo imebainishwa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu wakati akiwa ziarani mkoani Kagera kuangalia utayari wa mkoa huo kukabiliana…