JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2022

Masauni atoa siku 14 wafugaji kuondoka maeneo yasiyoruhusiwa

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewapa siku 14 Jeshi la Polisi Mkoani Lindi kuwaondoa wafugaji katika maeneo ya ambayo hayajatengwa na Serikali Wilayani Liwale kwa ajili ya shughuli za ufugaji. Waziri Masauni ambaye pia aliambatana…

Tanzania yaongoza kwa idadi kubwa ya nyati Afrika

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana ametangaza matokeo ya sensa ya wanyamapori iliyofanyika mwaka huu ambapo Tanzania inatajwa kuongoza kwa idadi kubwa ya nyati Barani Barani Afrika kwa kuwa na jumla ya nyati 191,805….

Serikali kuwajengea uwezo wataalamu wa nusu kaputi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, Wizara ya Afya kwa kushirikiana na vyama vya kitaaluma inatekeleza Mkakati wa kuwajengea uwezo watumishi wa vituo vya huduma za Afya kuanzia ngazi ya Zahanati hadi hospitali za Taifa…

Serikali yatenga bil.230/- kuboresha miundombinu ya elimu

Angela Msimbira OR-TAMISEMI Serikali inakamilisha tathmini ya upembuzi yakinifu wa shule zote za msingi kupitia mradi wa kuboresha elimu ya awali na msingi Tanzania Bara (BOOST) ili kuandaa mpango endelevu wa uboreshaji wa elimu ya awali na msingi nchini ….