JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2022

TCRA: Laini 52,087 zilizojihusisha na utapeli zafungiwa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imebainisha kuwa maelfu ya namba za simu zilizojihusisha na wizi, utapeli na ulaghai kupitia Mtandao wa simu zimefungwa. Akizungumza jijini Dodoma hivi karibuni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Dkt Jabiri Bakari, amesema kuwa jumla ya…

Mbunge Jerry aahidi kutembea pamoja na wanahabari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Mbunge wa Jimbo la Ukonga,Jerry Silaa,ameahidi kutembea pamoja na wabunge wenzake katika kuhakikisha kuwa sheria zinazobinya sekta ya habari zinakuwa rafiki. Ameyasema hayo Novemba 8, 2022 wakati akizungumza na uongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), na…

‘Watumishi walioharibu miradi na kuhamishwa warejeshwe’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia MKUU wa Mkoa Rukwa Queen Sendiga ameagiza Wakurugenzi wa Mamlaka za serikali za mitaa kuchukua hatua za kuwarejesha watendaji na watumishi wa serikali wanaotuhumiwa kuharibu miradi ya wananchi ili wajibu tuhuma zao. Kauli hiyo ameitoa jana wakati…

TANROADS: Kichocheo cha uchumi mkoani Songwe

Mpaka wa Tunduma unaounganisha mataifa ya Tanzama na Zambia ndio wenye pilikapilika nyingi kati ya mipaka yotenchini.  Hii inatokana na ukweli kuwa mpaka huu ndio unaopitisha asilimia kubwa yaa shehena inayoshushwa katika Bandari ya Dar es Salaam kwenda mataita ya…

Askari Magereza,wafungwa wajeruhiwa

Wafungwa kadhaa wakiwemo askari magereza wawili wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea leo Novemba 8, 2022 katika eneo la Kaloleni wilayani Kiteto mkoani Manyara. Mkuu wa Wilaya ya Kiteto,Mbaraka Batenga amethibitisha tukio hilo na kusema kuwa, chanzo cha ajali bado hakijajulikana. Amesema,…

Zanzibar wapigwa msasa kuhusu uzalishaji wa mazao bora ya bahari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Zanzibar Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Suleiman Masoud Makame amesema uzalishaji wa matango bahari na uboreshwaji wa zao la mwani unamanufaa makubwa kwa Zanzibar na Nchi za pembezoni mwa ukanda wa Bahari ya Hidi. Waziri Suleiman…