JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2022

Zao la korosho lawaingizia wakulima Ruvuma bil.291/-

Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Ruvuma Takwimu za uzalishaji wa zao la korosho mkoani Ruvuma zinaonesha kuwa katika kipindi cha miaka mitano mfululizo zao hilo limewaingizia wakulima shilingi bilioni 291.9. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas wakati anafungua…

TEF yaishauri Serikali kuwekeza katika mafunzo na vifaa vya uokoaji

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),limepokea kwa masikitiko vifo vya watu 19 waliokufa katika ajali ya ndege ya shirika la Ndege la Precision siku ya Jumapili Novemba 6, 2022. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari…

Akamatwa akiwa na mkono wa albino kwenye begi

Na Daud Magesa,JamhuriMedia,Mwanza Jeshi la Polisi mkoani Mwanza,linawashikilia watu 21 kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili akiwemo mwenye ualbino katika wilaya za Kwimba na Sengerema. Watuhumiwa hao wanadaiwa kufanya mauaji ya watu hao wawili kwa nyakati na matukio tofauti…

Polisi:Madereva msikubali kuvutwa na shetani wakati mkiendesha

Na Abel Paul,JamhuriMedia-Jeshi la Polisi Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha, Mrakibu wa Polisi SP Solomon Mwangamilo amewataka madereva kuwa makini katika matumizi ya vyombo hivyo pamoja na kufuata sheria za usalama barabarani ili kuepusha ajali za…