JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2022

Tanzania tishio wagonjwa wengi wa sikoseli, ya tano Duniani na ya tatu Afrika

Takwimu zinaonesha kuwa watoto takribani elfu Kumi na Moja huzaliwa na ugonjwa wa Sikoseli kila mwaka nchini Tanzania hali ambayo imekuwa tishio kwa Taifa la baadae. Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa huduma za Tiba Prof. Paschal Ruggajo wakati wa…

Serikali yawapongeza wabunge kuwa msitari wa mbele elimu ya malezi kwa watoto hatua za awali

Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maaalum imewapongeza Wabunge kwa utayari wao na kuwa mstari wa Mbele katika suala la Elimu ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto. Akifungua Semina kwa Wabunge kwa…

Waziri Mabula asitisha vibali vya ujenzi vituo vya mafuta

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula amesitisha utoaji wa vibali vipya vya ujenzi wa vituo vya mafuta na mabadiliko ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya ujenzi wa vituo hivyo kwa muda wa miezi mitatu…

Dkt. Mpango kufungua Tamasha la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo

Tamasha la Kimataifa la 41 la Utamaduni na Sanaa Bagamoyo linaanza leo Novemba 10, 2022 mjini Bagamoyo litakalojadili kwa kina masuala ya Sanaa na uchumi litalaloongozwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa na kufunguliwa na Makamu wa…

Waziri Mkuu akagua kazi ya kufufua na kusafisha visima vya maji Dar

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua visima vya dharura vinavyosafishwa, kufufuliwa na kuunganishwa katika mfumo wa usambazaji maji kwa wananchi na kuagiza zoezi hilo pamoja na uchimbaji wa visima katika maeneo mbalimbali liwe endelevu. Majaliwa amekagua visima katika eneo la Tabata…