JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2022

Mgonjwa wa homa ‘anyweshwa’ dawa ya upele

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Morogoro Mgonjwa aliyekwenda kutibiwa homa Hospitali ya Misheni Bwagala iliyopo Turiani, Mvomero mkoani Morogoro amenusurika kifo baada ya kunywa dawa ya kutibu upele akielekezwa kuwa ni ya homa. Kisa hicho kimetokea Alhamisi ya Novemba 4, 2022 baada ya…

Ndejembi akerwa na tabia ya waajiri kuficha barua za uhamisho

Na Veronica Mwafisi,JamhuriMedia, Kigoma Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amekemea tabia ya baadhi ya waajiri katika Taasisi za Umma kuficha barua za uhamisho wa watumishi wa umma ambao Katibu Mkuu,…

Klabu ya Simba yamkana kocha aliyedakwa na dawa za kulevya

Uongozi wa Klabu ya Simba unaujulisha umma kuwa Muharami Said Mohammed maarufu Shilton hakuwa muajiriwa wa klabu yetu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na klabu hiyo leo Novemba 15,2022 imesema kuwa klabu hiyo ilimuomba na kukubaliana na Muharami kuwanoa makipa…

Vifahamu viwanja nane zitakapochezwa michuano ya kombe la Dunia

Zikiwa zimesalia siku chache michano ya kombe la Dunia ianze kutimua vumbi huko mashariki ya kati, unaweza ukawa unavuta picha michuano ya msimu huu itakuwaje! Hivi ndivyo viwanja nane ambavyo michuano hiyo itachezewa hapo nchini Qatar kuanzia Novemba 20, 2022…

Kocha wa Simba na wenzake 9 wadakwa na dawa za kulevya

Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA), Gerald Kusaya ametangaza watuhumiwa tisa wakiongozwa na Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif pamoja na Kocha wa Makipa wa Klabu ya Simba, Mwalami…