JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2022

TMA yaeleza sababu za ongezeko la joto nchini

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ,imesema kutakuwa na ongezeko la joto katika baadhi ya maeneo nchini hali ambayo imesababisha kusogea kwa jua la utosi sambamba na upungufu wa mvua katika maeneo mengi hapa nchini. Kwa mujibu wa taarifa…

Utata ‘mauaji’ ya kijana Arusha

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arusha Wistone Massawe amefariki dunia jijini Arusha baada ya kuchomwa kwa kitu chenye ncha kali, ikidaiwa ni wakati alipotoka ndani ya ukumbi wa disko kwenda maliwatoni. Kwa mujibu wa familia yake, mauti yalimkuta Wistone saa 10 alfajiri ya…

Vikundi vya ulinzi shirikishi vyawezeshwa mawasiliano

N .Abel Paul wa Jeshi la Polisi Vikundi vya ulinzi shirikishi katika Jiji la Arusha vimewezeshwa vifaa vya mawasiliano kwa lengo la kurahisisha mawasiliano wakati wakiimarisha ulinzi katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Arusha. Akikabidhi vifaa hivyo ambavyo ni simu…

Ndege ya ATCL yadaiwa kushindwa kutua Bukoba

Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) yadaiwa kushindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba. Mbunge wa viti maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Neema Lugangira kupita ukurasa wake katika mtandao wa Twittter amesema amepanda ndege leo asubuhi…

Mkutano Jukwaa la Uziduaji kufanyika Dodoma wiki ijayo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Mkutano wa Jukwaa la Kitaifa la Uziduaji unatarajiwa kufanyika jijini Dodoma kati ya Novemba 24 hadi 25, 2022. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa HakiRasilimali, Adam Anthony, mkutano huo wanauandaa ili kutoa fursa kwa wadau wa sekta…