JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2022

Twitter yamtoa kifungoni Donald Trump

Mmiliki mpya wa Twitter Elon Musk amesema akaunti Twitter ya Donald Trump imerejeshwa baada ya kufanya kura ya maoni ambapo watumiaji waliunga mkono hatua hiyo. “Watu wamezungumza,” aliandika Bw Musk, akisema kuwa 51.8% ya zaidi ya watumiaji milioni 15 wa…

Makamu wa Rais ataka viwanda viongeze uzalishaji

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Makamu wa Rais, Dk. Phillip Mpango amekabidhi tuzo kwa washindi wa Tuzo za Rais kwa Mzalishaji Bora wa Mwaka ( PMAYA) huku akisisitiza umuhimu wa viwanda vya ndani kuongeza thamani ya bidhaa ghafi . Amevitaka viwanda kuachana…

Simba yarejea kileleni kibabe

Timu ya Simba SC imerejea Kileleni Kibabe baada ya Kuizamisha mabao 4-0 Timu ya Ruvu Shooting Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Baada ya kukaa mechi nyingi bila kufunga bao Mshambuliaji…

Rais Samia atoa wito kwa viongozi wa dini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali kuwahimiza waumini wa dini zao kuzingatia mila, utamaduni na maadili ya Kitanzania.  Rais Samia ametoa wito huo leo katika hafla ya…

Ahukumiwa kuchapwa viboko 24 kwa kujaribu kubaka

Na Moses Ng’wat,JamhuriMedia,Songwe MAHAKAMA ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imemuhukumu kuchapwa viboko 24 mkazi wa kijiji cha Msia,Kata ya Chitete, wilayani humo Furaha Maisoni Simkonda, kwa kosa la kujaribu kumbaka mwanafunzi wa darasa la kwanza mwenye umri wa miaka…

‘Tanzania ni miongoni mwa nchi 30 zenye kiwango kikubwa cha TB’

IMEELEZWA kuwa ugonjwa wa Kifua Kikuu ni Janga la Kitaifa na la Kidunia ambapo ni moja kati ya magonjwa yaliyokuwepo duniani kwa muda mrefu na umeshachukua maisha ya mamilioni ya watu Duniani kote. Hayo yamesemwa jana na Katibu Tawala wa…