JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2022

Ofisi ya Waziri Mkuu kushiriki maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha

Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kupitia Idara ya Hifadhi ya Jamii itashiriki katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha ambayo kitaifa yatafanyika Mkoani Mwanza, kuanzia Novemba 21 hadi 26, 2022. Hayo ameeleza Mkurugenzi…

Polisi Shinyanga wakamata silaha zinazotumika kuendesha uhalifu

Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limekamata Bunduki za Kivita AK47 mbili, za kiraia 27(S\gun 9, Riffle 5 pamoja na Gobole 15 zilizokuwa zinatumika kutendea uhalifu.  Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumatatu Novemba 21,2022, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga…

Serikali kutumia Trilioni 1.2 kuboresha elimu ya sekondari nchini

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Angellah Kairuki amesema Serikali itatumia takribani Sh trilioni 1.2 katika kuboresha elimu ya sekondari nchini. Kairuki ameyasema hayo wakati wa kuzungumza na wananchi wa Kata ya Kasisi,…

Mpango aitaka TPA kukamilisha miradi yote ya maboresho

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ameitaka Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) kuhakikisha miradi yote ya maboresho ya bandari ya Tanga inakamilika ifikapo mwezi Aprili 2023 ili bandari hiyo ianze kufanya kazi kwa…

Ajiteka na kuomba milioni 2,Polisi wamdaka akimwagilia moyo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Songwe Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia Tumshukuru Kibona (30), Mkazi wa Mji mdogo wa Mlowo wilayani Mbozi kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa lengo likiwa ni kutaka kujipatia fedha. Taarifa iliyotolewa na jeshi…