JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2022

Auawa kwa kukatwa mapanga mkoani Shinyanga

Mwanamke mmoja (50),Mkazi wa Kitongoji cha Mwamboku Kata ya Kashishi Wilaya ya Kipolisi Msalala Mkoani Shinyanga,Sele Luchagula, ameuawa na watu wasiojulikana akiwa anakula kwa kukatwa mapanga sehemu mbali mbali za mwili hali iliyopelekea kupoteza maisha papo hapo.Mauaji hayo yametokea Novemba…

Rais Samia Ziarani Mkoani Manyara

Rais Samia akiwa ziarani mkoani Manyara kwa siku ya pili leo ametembelea na kukagua mirandi mbalimbali ya kimaendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi wa mkoa huo

Klabu ya Manchester United yatangaza kupigwa mnada

Klabu ya Machester United iko mbioni kupigwa mnada na kuwa chini ya mmiliki mpya mara baada ya wamiliki wa klabu hiyo ambao ni familia ya Glazers kukubali kuiuza. Kupitia taarifa iliyotolewa leo Novemba 23, 2022 kwenye tovuti rasmi ya Manchester…

Tanzania kuzidi kunufaika na miradi ya WIPO

Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa na Mashirika ya Kimataifa Jijini Geneva Uswisi, Mhe. Balozi Maimuna Tarishi amesema kuwa Tanzania inaendelea kunufaika na miradi mingi ambayo hutolewa na Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (WIPO). Kauli hiyo aliitoa…

Ronaldo afungasha vilago Manchester United

Manchester United imethibitisha kuwa Cristiano Ronaldo ameondoka katika klabu hiyo kwa mara ya pili baada ya mkataba wake kuvunjwa na kutekelezwa mara moja kwa ‘makubaliano ya pande zote’. Hiyo inakuja siku chache baada ya mahojiano yaliyoonekana kuwa ya kichochezi ambayo…

Mwakibete mgeni rasmi uzinduzi TTMOA

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia  Naibu Waziri wa ujenzi na Uchukuzi Atupele Mwakibete, anatarijiwa kuwa mgeni Rasmi katika uzinduzi wa Chama Cha Wamiliki wa Matipa na Mitambo Tanzania ( TTMOA) Novemba 25 mwaka huu  Jijini Dar es Salaam. Hayo yamesemwa na  Mwenyekiti…