Month: October 2022
Majaliwa:Rais Samia amedhamiria kuimarisha utoaji huduma za afya
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuendelea kuimarisha utoaji wa huduma za afya kwa kuwezesha upatikanaji wa wataalam, dawa, vitendanishi na vifaa tiba. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Oktoba 26, 2022 baada ya kushuhudia utiaji saini…
Ndumbaro:Ni muda mzuri wa kuomba mabadiliko ya sheria ya habari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arusha WADAU wa habari nchini wameshauriwa kuweka nguvu za pamoja katika harakati za kutafuta mabadiliko ya sheria ya habari ambazo zimekuwa kikwazo. Ushauri huo umetolewa na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk.Damas Ndumbaro wakati akizungumza na viongozi wa…
Gondwe aipongeza WESE kuunga mkono jitihada za Serikali
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam Godwin Gondwe ameipongeza kampuni ya WESE kwa kuanzisha jukwaa litakalosaidia madereva kupata huduma ya mafuta kwenye vituo vya mafuta nakulipa fedha baadae. Akizungumza leo Oktoba 26,2022 Dar es Salaam kwa…
Waliofutwa kazi kwa vyeti feki kurudishiwa NSSF zao
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Rais Samia ameridhia Watumishi walioondolewa kazini kwa kughushi vyeti kurejeshewa michango yao waliyochangiwa katika Mifuko ya Hifadhi ambayo kwa PSSSF ni asilimia tano na Kwa NSSF ni asilimia kumi ya mshahara. Hayo yamesemwa na Waziri wa Kazi,…
Meja jenerali Simuli aimwagia sifa sekondari ya Ruhuwiko Songea
Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea MKUU wa Utumishi (CP) wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Meja Jenerali Paul Simuli amewapongeza walimu wa Shule ya Sekondari ya Ruhuwiko pamoja na bodi ya shule hiyo kwa kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wa sayansi kwa miaka…
Pinda ataka Muungano wa Tanzania ulindwe
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda amesema kuwa changamoto zinazokumba Muungano wa Tanzania zinatakiwa kuondolewa ili kulinda Maono ya Waasisi wa Muungano huo ambao hawakutaka kuwepo kwa ubaguzi katika wa Watangangika na Wazanzibar. Waziri Mkuu Mstaafu Pinda amesema…