Month: October 2022
Ofisi ya Msajili Hazina yatembea na Rais, yakusanya bil.852.98/-
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma HADI kufikia Juni 30, mwaka huu Ofisi ya Msajili wa Hazina imekusanya mapato yasiyo ya kodi ambayo yanajumuisha gawio, michango ya asilimia 15 ya mapato ghafi na mapato mengineyo kiasi cha Sh. Bilioni 852.98 sawa na asilimia…
Yanga yaendeleza rekodi yake
Klabu ya Yanga imeendeleza na rekodi yake ya kutokufungwa katika mechi ya 44 mara baada ya leo kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC Fc. Yanga Sc imeingia uwanjani huku ikiwapumzisha wachezaji wake kadhaa akiwemo Mayele ambaye hakuwepo hata…
Polisi yavunja mkataba na kocha mkuu
KLABU ya Polisi Tanzania imeachana na kocha wake Mrundi, Joslin Sharrif Bipfubusa baada ya miezi mitatu tu tangu ajiunge na timu hiyo Julai 26. Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya Polisi Tanzania kuchapwa 2-0 na Tanzania Prisons katika mchezo…
TCRA: Dar yaongoza kuwa na laini nyingi za simu za mkononi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Ripoti ya Utendaji wa Kisekta imeonesha ongezeko la asilimia 3.4 kwa laini za simu zinazotumika,ambapo hadi mwezi Juni 2022 kulikuwa na laini Milioni 56.2 idadi iliyoongezeka hadi kufikia laini milioni 58.1 Septemba 2022. Takwimu zinaonyesha kwamba mikoa…
Simba Queens yalamba bil.1/-M Bet
Na Wilson Malima,JamhuriMedia,Dar Timu ya soka ya Wanawake Simba Queens imefanikiwa kusaini mkataba wa thamani ya Sh. bilioni 01 kwa kipindi cha miaka mitano kutoka kwa kampuni ya michezo ya kubashiri M-Bet, ambapo timu hiyo itakuwa ikipokea milioni 200 kila…
TMA yatoa ushauri wa kupanda mazao yanayokomaa muda mfupi
Na Stella Aron,JamhuriMedia,Dar MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imewashauri wakulima kupanda mazao na mbegu zinazokomaa kwa muda mfupi na zinazostahimili upungufu wa mvua kama vile mazao jamii ya mizizi, mikunde na mazao ya bustani. Ushauri huo umetolewa na…