JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2022

Askari uhifadhi wa TANAPA 97 wahitimu mafunzo Namtumbo

Askari wahifadhi wa TANAPA 97 wamehitimu mafunzo ya aina tatu tofauti katika chuo cha Uhifadhi Maliasili Jamii cha Likuyu Sekamaganga wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma. Akitoa taarifa ya mafunzo hayo kwenye hafla ya ufungaji mafunzo hayo iliyofanyika kwenye viwanja vya chuo…

Biteko aagiza mradi wa Kabanga Nickel kuanza ulipaji fidia

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kagera Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko ameiagiza Kampuni ya Tembo Nickel inayomiliki mradi wa uchimbaji Madini ya Nikeli kulipa fidia wananchi watakaopisha eneo la mradi ambao uthaminishaji wa maeneo yao umekamilika. Dkt.Biteko ametoa agizo hilo alipotembelea mradi…

Sauti programu kuzalisha mifugo bora kwa soko la ndani na nje

Programu ya Samia Ufugaji kwa Tija inakwenda kumaliza changamoto ya upatikanaji wa mifugo bora inayohitajika kwa ajili ya soko la ndani na nje ya nchi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Mashimba Ndaki wakati anazungumza na vijana waliochaguliwa kujiunga…

Tanzania yashiriki ufunguzi Kombe Dunia kwa watu wenye ulemavu

Matukio katika picha yakionesha Shamrashamra katika uwanja wa Ulker uliopo nchini Uturuki kwenye hafla ya ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Kombe la Dunia kwa watu wenye ulemavu jana. Timu kutoka Tanzania Tembo Warriors ambayo ilifuzu kucheza mashindano hayo nayo imeshiriki…