Month: October 2022
Jumuiya ya Kimataifa yamtangaza Rais Samia mshindi tuzo ya amani
Jumuiya ya Kimataifa na Amani imemtangaza Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mshindi wa tuzo mbili za kimataifa ikiwemo ya amani duniani 2022. Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa Taifa wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), Gaudencia Kabaka, amesema Rais Samia…
Serikali yajivunia ushirikiano wake na China
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema inaendelea kujivunia ushirikiano wake na Serikali ya Watu wa China kwa vitendo zaidi kwa maslahi ya pande zote mbili. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…
TAMISEMI na Wataalam wa ardhi watakiwa kujipanga kutatua changamoto
Na Anthony Ishengoma na Munir Shemweta,Dodoma Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula, amewataka wakurugenzi wa Halmashauri nchini kujipanga na kufanya kazi kwa pamoja na wataalamu wa ardhi ili kuondoa changamoto zinazojitokeza katika utendaji kazi na…
Daktari Mtanzania afariki kwa maambukizi ya Ebola Uganda
Daktari raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 37 ambaye amekuwa akisomea Shahada ya Uzamili ya Udaktari katika Upasuaji katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola, Chama cha Madaktari wa Upasuaji Uganda kimetangaza….
Mkandarasi Songea achangia mufuko 20 ya saruji shule ya msingi Makambi
Na Julius Konala,JamhuriMedia,Songea Katika kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan za kuboresha majengo ya shule hapa Nchini,mkurugenzi wa kampuni ya ukandarasi ya GAJOVU Joseph Ngonyani(WAYA)amechangia mifuko 20 ya saruji yenye thamani ya zaidi ya shilingi 300,000 kwa ajili…
Waziri Mkuu:Wizara ya afya ishirikishe kuchangia huduma za tiba
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameiagiza Wizara ya Afya iendelee kuhamasisha taasisi, na wadau kuchangia maeneo muhimu kama ya afya hasa yanayogusa jamii ikiwemo fistula, na saratani ambayo yanasumbua jamii. “Suala la kuchangia maendeleo na utatuzi wa changamoto za jamii ni…