JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2022

Watu 13 wakamatwa Shinyanga kwa tuhuma za kuhujumu miundombinu ya TANESCO

Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limewakamata watu 13 wakituhumiwa kuhujumu na kuharibu miundo mbinu ya Shirika la Umeme (TANESCO ) na kulisababishia hasala zaidi ya shilingi milioni 10 kati yao wamo watumishi wawili na wachungaji wa dini wawili. Kwa…

MAIPAC,CANADA kusaidia jamii za pembezoni,wanahabari

Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Arusha Taasisi ya Wanahabari wa Kusaidia Jamii za Pembezoni (MAIPAC) inatarajiwa kuwa na mashirikiano na taasisi zisizo za kiserikali za nchini CANADA ili kuwajengea uwezo wanahabari na kusaidia jamii ya Pembezoni. Mkurugenzi wa shirika la MAIPAC, Mussa Juma ametoa…

Serikali yaonya ubadilisha matumizi ya ardhi bila sababu ya msingi

Na Munir Shemweta,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,Dkt Angeline Mabula amezionya halmashauri nchini kuacha utaratibu wa kubadilisha matumizi ya ardhi bila sababu za msingi. Dkt.Mabula alitoa onyo hilo Oktoba 1, 2022 jijini Dodoma wakati wa kuhitimisha…

Serikali yawapa mawakili wafawadhi siku 14 kuwasilisha kesi zilizopo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali yawapa Mawakili Wafawidhi wa Serikali siku kumi nne kuanzia leo kuwasilisha orodha ya kesi zilizopo kwenye taasisi za umma wanazofanyia kazi pamoja na majina na vyeo vya wahusika waliosababisha kesi hizo. Maelekezo hayo yalitolewa na Waziri…

Dereva aliyegonga Twiga,kulipa milioni 34.9/-

Dereva wa lori aliyemgonga Twiga na kumuua katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi anatarajiwa kufikishwa mahakamani mara baada ya kupata matibabu. Hifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi Ignas Gara amesema kuwa tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Septemba…