JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2022

Wenye umri wa Miaka 50-59 wanogesha riadha SHIMIWI

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tanga Mchezo wa riadha watu wazima wenye umri wa miaka 50-59 umekuwa kivutio katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara za Serikali, Wakala na Mikoa (SHIMIWI) inayoendelea jijini Tanga. Usemi wa “Yake ni dhahabu” umejidhihirika katika…

Tanzania,Kenya wakubaliana kuondoa vikwazo 14 vya kibiashara

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Dar Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Kenya, William Ruto wamekubaliana kuondoa vikwazo 54 kati ya 68 ambavyo vilikuwa vikichangia kukwamisha biashara kati ya nchi hizo. leo Jumatatu Oktoba 10, 2022 Ikulu Dar es Salaam…

Simba yanusa hatua ya makundi Ligi Mabingwa, yashinda 3-1

Klabu ya Simba imefanikiwa kuinyuka timu ya Primeiro de Agosto Fc kwa mabao 3-1 mchezo ambao ulipigwa kwenye nchini Angola hivyo nakuwa na faida kwa Simba ambaye atasubiri kucheza mchezo wa marudiano ili aweze kufuzu hatua ya makundi. Simba Sc…

Mkenda akerwa kusuasua kwa ujenzi wa chuo cha ufundi

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda (Mb) amekerwa na kusuasua kwa ujenzi wa chuo cha ufundi stadi-VETA mkoani Simiyu. Ameagiza wataalamu wote wa usimamizi wa chuo hicho ambao ni kutoka chuo cha ufundi Arusha waweke kambi…

Wizara ya Elimu watinga robo fainali michuano ya SHIMIWI

Timu ya Wizara ya Elimu ya mchezo wa Kamba Wanaume wametinga hatua ya robo fainali ya Mashindano ya Shimiwi ya mchezo huo baada ya kuikung’uta timu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuwavuta kwa seti 2-1, katika mchezo wa…