JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2022

Arusha yaanza kuchukua tahadhari mlipuko wa Ebola

Mkoa wa Arusha umeanza kuchukua tahadhari ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kutokana na kuwa na muingiliano mkubwa wa wageni kutoka nchini Uganda kulikoripotiwa kuwa na ugonjwa huo. Akizungumza na kamati ya afya ya msingi katika kuweka utayari…

TPA yadhamiria kuziboresha bandari kuwa za kisasa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Bagamoyo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA),imedhamiria kufanikisha maono ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kufanya mageuzi makubwa ya uchumi wa nchi kutoka daraja la tatu kwenda kwenye nchi zenye uchumi wa daraja la pili. Hayo yamebainishwa…

Kinana ataja mambo manne ambayo hayati Nyerere alikuwa akiyasimamia

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kibaha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametaja mambo manne ambayo Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alikuwa akiyasimamia enzi ya uhai wake kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania….

Kikosi cha U23 kuingia kambini kesho

Kikosi cha timu ya taifa ya ya Vijana chini ya umri wa miaka 23 kitaingia kambini kesho kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kufuzu AFCON U23. Katika hatua nyingine, Tanzania imepangwa Kundi B pamoja na Uganda na Ethiopia katika mechi…

Prof Makubi:Bima ya afya inatoa fursa ya kutibiwa hospitali yoyote unayoitaka

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi amebainisha kuwa, Bima ya Afya kwa wote itatoa fursa kwa Mtanzania mwenye hali yoyote kwenda kupata matibabu katika hospitali yoyote zikiwemo hospitali za kitaifa kama Muhimbili na nyingine za kibingwa. Prof. Makubi…