JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: October 2022

Mwalimu Nyerere alivyohubiri maendeleo, Umoja wa Kitaifa

Na Mwalimu Samson Sombi,JamhuriMedia Imetimia miaka 23 tangu kutokea kwa kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, katika Hospitali ya Mt. Thomas jiji la London nchini Uingereza Octoba 14, 1999. Mwalimu Julias Kambarage Nyerere alizaliwa mwaka 1922 Kijijini…

NECTA yatoa tamko mwanafunzi kubadilishiwa namba ya mtihani

Mwanafunzi wa shule ya Msingi Chalinze Modern Islamic, Mkoa wa Pwani, Iptisum Slim amedai kubadilishiwa namba yake mtihani wa kumaliza elimu ya msingi Oktoba 5 hadi 6, 2022. Kupitia video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii mwanafunzi huyo mhitimu wa darasa…

Mwalimu afungwa jela maisha kwa kumlawii mwanafunzi

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi imemuhukumu mwalimu Elibariki Mchomvu kwa kosa la kumlawiti mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka saba. Mwalimu huyo aliyekuwa akifundisha Shule ya Msingi Chomvu iliyopo Wilaya ya Mwanga alipatrikana na hatia kwa…

Kamati ya Bunge ya Bajeti yakagua upimaji mafuta Dar

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imefanya ziara katika maeneo yanayotumika kupakua mafuta kutoka kwenye Meli na kupima katika Bandari ya Dar es Salaam na Kigamboni mkoani Dar es Salaam. Ziara hiyo ilifanyika jana ikiwa na lengo la kujihakikishia…

UPUUZI HUU NI WA BASATA AU LATRA?

Na Joe Beda Rupia Jamhuri Media Hii ni aibu. Aibu kubwa kweli kweli! Kwa hakika ni ujinga unaoachwa kuendelea bila kukemewa. Matokeo yake tunabaki kujificha kwa kufumba macho. Hivi, unaweza kujificha kwa kufumba macho? Nao huu ni ujinga mwingine. Lakini…