Month: October 2022
ACT-Wazalendo yamshauri Jaji Biswalo kujiuzulu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar Msemaji wa Sekta ya Katiba na Sheria ya ACT-Wazalendo, Victor Kweka kuwa amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kuunda tume ya majaji ili kupitia malalamiko ya wananchi waliolipishwa fedha kwa kukiri makosa na kulipa fedha serikalini. Hatua…
Tanzania mfano wa kuigwa duniani kwa kudhibiti mfumuko wa bei
Makamu Rais wa Benki ya Dunia wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Victoria Kwaka, ameipongeza serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta “miujiza” kwenye uchumi. Kwaka ameipongeza Tanzania kwa utulivu wa uchumi wake wakati…
Waziri Ummy:Bima ya afya haitakuwa na matabaka
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema Muswada wa bima ya afya unalenga kutoa huduma za matibabu kwa wananchi wote bila kujali tajiri au maskini hivyo hautakua na matabaka. Waziri Ummy amesema hayo leo 18 Oktoba 2022 wakati akiwasilisha muswada huo…
Rais Samia awashika mkono akina mama waliojifungia njiti
Rais Samia ametoa msaada wa mahitaji muhimu kwa mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni, Kigoma. Mahitaji hayo yamekabidhiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Angellah Kairuki kwa niaba ya Rais Samia, mara baada…
Majaliwa akutana na madudu Namtumbo, aagiza milango 10 ing’olewe
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Namtumbo na kusema Serikali haiwezi kukaa kimya huku baadhi ya watumishi wakifanya vitendo vya hovyo. “Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameleta shilingi bilioni 7 za ujenzi wa hospitali hii….