Month: October 2022
RC Nyerere:Wasioona kupewa huduma stahiki kama wengine
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Charles Makongoro Nyerere amesema serikali itaendelea kushirikiana na watu wenye ulemavu katika kuwapatia huduma zote zinazohitajika kama wengine. Amezungumza hayo katika kongamano la watu wasioona linalofanyika katika ukumbi wa chuo kikuu huria mjini Babati leo…
Majaliwa:Timizeni matarajio ya Rais Samia
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma watimize wajibu wao kama ambavyo Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia wafanye pindi anapowateua ama kuwapa ajira. “Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anataka kuona watumishi wa umma mkiwatumikia Watanzania. Nenda kwa wananchi mkawasikilize….
Mwanasheria Moro ashangazwa mabaraza ya kata kuendesha mashauri bila kuapishwa
Na Severin Blasio,JamhuriMedia,Morogoro Mwanasheria wa Halmashauri ya Morogoro wakili Hella Mlimanazi ameshangazwa kuwepo kwa baadhi ya mabaraza ya kata kwenye halmashauri hiyo kufanya mashauri bila kupata mafunzo sambamba na kuapishwa. Pia baadhi ya mabaraza hayo yamekuwa yakifanya kazi bila kuhuishwa(renew)…
TARURA waendelea na ujenzi barabara za lami nyepesi Songea
Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea JUMLA ya sh.milioni 389.8 zimetolewa na wakala wa barabara za mijini na vijijini(TARURA),Manispaa ya Songea,kujenga ujenzi wa boksi karavati na barabara ya rami kwa kiwango chepesi 0.71cm yenye urefu wa mita 700 ikiwa ni mwendelezo wa ujenzi…
Tanzania kucheza na Colombia Robo Fainali Kombe la Dunia
Na Shamimu Nyaki,JamhuriMedia Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17 ( Serengeti Girls), inatarajia kucheza na Colombia katika robo fainali baada ya kuandika historia kwa mara kwanza kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia baada ya…