Month: October 2022
IGP apangua makamanda, amuhamisha Mutafungwa
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amewahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi kutoka katika nafasi zao na kuwapangia sehemu zingine. kupitia taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Oktoba 20, 2022 na Msemaji wa Jeshi la Polisi SACP David Misime…
Malkia aipongeza Tanzania kwa ukuaji wa huduma jumuishi za kifedha
Malkia Maxima wa Uholanzi ameipongeza Tanzania kwa ukuaji wa huduma jumuishi za fedha nchini ambapo idadi ya Watanzania wanaopata huduma za kifedha imepanda kutoka asilimia 17 kwa mwaka 2010 hadi kufikia asilimia 58 kwa mwaka 2022. Akizungumza alipokutana na Gavana…
Wiki ya AZAKI kujadili maendeleo ya watu na taifa kwa ujumla
Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation for Civil Society (CFC) Francis Kiwanga (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu Wiki ya AZAKI inayotarajiwa kuanza rasmi Oktoba 24 hadi 28, 2022 Jijini Arusha. (kushoto) ni, Mkurugenzi Mkazi wa shirika la Norwegian…
Wawekezaji Poland wanahitaji kuwekeza maeneo haya
Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Poland waje nchini kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo ya uchumi wa bluu na madini. Waziri Tax ameyasema hayo,wakati akihutubia mkutano uliowakutanisha wawakilishi…
Walimu wafikishwa kortini kwa kuvujisha mtihani wa Taifa
Walimu saba na wafanyabiashara wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu likiwemo la kuvujisha mtihani wa Taifa wa darasa la saba mwaka 2022. Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo leo Oktoba 19,2022 na wakili wa…