Month: October 2022
Kevela: Tuache kuchangia michango kwa wanaotaka kuoa ama kuolewa
Yono Kevela ambaye ni mbunge mstaafu wa Jimbo la Wanging’ombe mkoani Njombe amewashauri Watanzania kuacha kuchangia michango mikubwa kwa watu wanaotaka kuoa ama kuolewa badala yake waongeze nguvu ya michango kwa watoto ili waweze kupata elimu. Amesema hayo wakati akizungumza…
Chongolo: Rushwa bado changamoto kwenye chaguzi za CCM
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Katibu Mku wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewataka makatibu wa chama hicho kuanzia ngazi ya tawi hadi mkoa kuhakikisha wanasimamia vizuri mali za chama ili kukifanya chama hicho kuwa na maendeleo endelevu. Chongolo ametoa agizo…
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia Suluhu Hassan ameteua wenyeviti wa bodi mbalimbali na watendaji katika taasisi mbalimbali hapa nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 22, 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zuhura Yunus imesema kuwa ameteua wenye viti wa…
Serikali yapaisha ustawi wa watu wasioona nchini
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imefanikiwa kuwawezesha Watu wasioona hususan katika eneo la Ajira, Michezo na TEHAMA. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (kazi, Ajira, Vijana na Wenye…
‘Maendeleo ni pamoja na kufanyika mabadiliko ya sheria ya habari’
Na Stella Aron,JamhuriMedia,Dar Wadau wa sekta ya habari wamesema kuwa ili kufikia maendeleo chanya katika sekta hiyo ipo haja ya kufanyika kwa marekebisho ya vifungu vya sheria ya habari kandamizi katika sekta hiyo. Hayo yameelezwa na Sylvester Hanga Mshauri Mfawidhi…