Month: September 2022
ACT-Wazalendo: Tunahitaji mradi wa bomba la mafuta uendelee
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimelitaka Bunge la Ulaya kuondoa azimio la kutaka kusitishwa kwa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga. Msemaji wa Sekta ya Madini katika chama hicho, Isihaka…
Takribani watoto 800 hugundulika kuwa na saratani kila mwaka
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo Septemba 23,2022 ameweka wazi kuwa, kila mwaka takriban watoto 800 hugundulika kuwa na ugonjwa wa Saratani nchini Tanzania hivyo kuchangia ongezeko la vifo vinavyotokana na ugonjwa huo. Waziri Ummy amesema hayo katika kikao na…
Rais Samia aidhinisha bilioni 150/- za ruzuku ya mbolea
Waziri Mkuuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameidhinisha shilingi bilioni 150 kutumika kwa ajili ya ruzuku ya mbolea ili kuwezesha upatikanaji wa bidhaa hiyo kwa wingi na kwa gharama nafuu. Majaliwa amesema katika msimu wa 2022/2023, utoaji wa…
Mpango:Meza za mazungumzo chombo bora cha kutatua migogoro duniani
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amehutubia Mkutano wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA) unaondelea Jijini New York nchini Marekani. Makamu wa Rais ametoa hotuba hiyo akimwakilisha Rais wa Jamhuri…