JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2022

BOT: Uchumi wa Tanzania Bara wakua kwa asilimia 5.4

Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imefanya kikao chake cha Septemba 222 Septemba 23,2022, ili kutathmini utekelezaji wa sera ya fedha na mwenendo wa uchumi kwa kipindi cha mwezi Julai na Agosti 2022. Kamati imeridhishwa na utekelezaji wa sera ya…

Kamati ya kushughulikia migogoro ya ardhi kuanza kazi Jumatatu Dodoma

Na Munir Shemweta,JamhuriMedia, Dodoma Kamati ya kushughulikia migogoro ya ardhi iliyoundwa na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Allan Kijazi itaendelea kutatua changamoto za ardhi katika mkoa wa Dodoma kuanzia Septemba 26 hadi 30, mwaka…

Wahandisi watakiwa kubuni teknolojia mpya zitakazofika vijijini

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imewataka wahandisi nchini kubuni teknolojia rahisi zitakazoweza kutatua changamoto za maisha ya wananchi vijijini na kuongeza kasi ya maendeleo nchini. Hayo yamesemwa Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi, Godfrey Kasekenya ,wakati akifunga maadhimisho ya 19 ya siku…

Dkt.Kijo Bisimba: Asasi za kiraia zina mchango mkubwa kwa wananchi

Jamii imeaswa kulipa umuhimu na kipaumbele suala la elimu kama nyenzo muhimu katika kuleta mabadiliko mbalimbali katika jamii sambamba na kuwa na fikra mbadala za kuwezesha jamii kubadilika Hayo yameelezwa Jijini Dar es Salaam Septemba 23, 2022 na aliyekuwa Mkurugenzi…

KOFIH yaipiga mjeki Mlongazila vifaa tiba

Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila imepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya TZS 382,650,980 Mil kutoka serikali ya Korea Kusini kupitia Taasisi ya Korea Foundation for Health Care (KOFIH) vitakavyotumika kuboresha utoaji wa huduma katika wodi ya watoto wachanga…

NMB yatangaza wadhamini NMB Marathon 2022

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Wiki moja kabla ya kufanyika kwa Mbio za Hisani za NMB Marathon ‘Mwendo wa Upendo,’ Benki ya NMB inayoandaa mbio hizo imetangaza wadhamini zaidi ya 20, ambao wameeleza siri ya uamuzi wa kukubali kudhamini kuwa ni kuguswa…