JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2022

Ashikiliwa kwa tuhuma za kumbaka mjamzito hadi kufa Iringa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Iringa Jeshi la Polisi mkoani Iringa inamshikilia Mohamed Njali kwa tuhuma za kumbaka mjamzito Atka Kivenule na kumsababishia kifo. Kamanda wa Polisi mkoani humo Allan Bukumbi, amethitisha kutokea kwa tukio hilo lilitokea Jumamosi usiku, mtaa wa Maweni,Kata…

Programu ya SAUTI kuleta mabadiliko sekta ya mifugo nchini

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Mashimba Ndaki amesema kuwa Programu ya Samia Ufugaji kwa Tija (SAUTI) inakwenda kuleta mabadiliko makubwa kwenye Sekta ya Mifugo. Waziri Ndaki ameyasema hayo juzi wakati anazungumza na vijana waliochaguliwa kujiunga kwenye vituo atamizi…

Kuelekea Kombe la Dunia: Tembo Warriors wajifua kambini Uturuki

Timu ya Taifa ya Soka kwa Walemavu, Tembo Warriors imeendelea na maandalizi yao wakiwa kambi maalum nchini Uturuki waliyoandaliwa na Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kabla ya Oktoba Mosi kuanza mechi yao ya kwanza ya Kombe la…

Benki ya Dunia yaridhishwa na kasi ya huduma za mahakama

Na Mary Gwera,JamhuriMedia Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika anayeshughulikia Ukuzaji wa Uchumi na Taasisi kutoka Benki ya Dunia (WB), Bw. Asad Alam amepongeza hatua ya uboreshaji wa huduma za utoaji haki nchini huku akiahidi kuwa Benki hiyo itaendelea kuunga mkono…

Nini kinafichwa nyuma ya stempu za ushuru?

Na Joe Beda Rupia,JamhuriMedia Mwaka 2017, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) ilitangaza zaburi ya kimataifa ya usambazaji, ufungaji na uendeshaji wa mfumo wa stempu za ushuru za kielektroniki. SICPA, kampuni ya Uswisi inayomilikiwa na familia iliyoiasisi, ilipata zabuni hiyo na…