JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2022

‘NHIF itaendelea kuwepo na kutoa huduma kwani ni tegemeo la Watanzania’

Serikali imesema inaendelea kuchukua hatua stahiki kuhakikisha kuwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unakuwa imara, endelevu na stahimilivu kwa kuendelea kutoa huduma kwa wananchi kwa kuwa mfuko huo ni moja kati ya mfumo unaotumika katika kuhakikisha huduma…

CCM haitamvumilia mwana-CCM anayewania uongozi kwa kutumia ukabila

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amesema Chama hakitamvumilia mwanachama yeyote ambaye anataka kuwania nafasi ya uongozi kwa kutumia udini, ukabila na ukanda. Amesisitiza Chama kinawatafuta watu wa namna hiyo na endapo kitaelezwa…

Kinana aishauri kampuni ya meli kujiendesha kibiashara

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kigoma Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana ameishauri Kampuni ya huduma za meli nchini (MSCL) kujiendesha na kuanza kufikiri kibiashara ikiwemo kuomba dhamana za serikali Ili kukopa fedha na kununua meli mpya ili…

Jafo afungua mkutano wa mabadiliko ya tabianchi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametoa wito kwa mataifa duniani kushirikiana katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Ametoa wito huo leo wakati akifungua Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi…

Balozi Fatma: Fanyeni kazi kwa bidii na ushirikiano

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab amewasihi watumishi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Qatar kufanya kazi kwa bidii, ubunifu na kwa ushirikiano mkubwa ili kuiwezesha Serikali kufikia malengo yake iliyojiwekea….