JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2022

Kinana aanza ziara ya kikazi Kagera

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Abdulrahman Kinana ameelezea kutoridhishwa kwake na kasi ya ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa ya Kigoma na Kagera. Akizungumza mjini Biharamulo mara baada ya kuwasili kuanza ziara ya siku mbili mkoani Kagera akitokea Kigoma Kinana amesema…

Waziri Mabula awataka wanaonunua ardhi kufanya uhakiki

Na Munir Shemweta,JamhuriMedia, Kibaha Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabuka amewataka wananchi wote wanaonunua ardhi kufanya uhakiki kabla ya kununua kupitia ofisi za Halmashauri sambamba na kufanya Search kwa maeneo yaliyo na hati. Dkt Mabula…

Wawekezaji Arusha wammwagia sifa Rais Samia ujenzi wa barabara

Wawekezaji na wananchi wa kata ya Themi, Halmashauri ya Jiji la Arusha wamemsifu na wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kuwajengea kwa kiwango cha lami barabara za Themi -Viwandani zenye urefu wa kilometa 1.4 kwagharama ya shiligi 1,175,141,850.00….

Serikali yaruhusu mabasi kupakia na kushusha vituo binafsi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametangaza kuondoa katazo lililokuwa likizuia mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi kutoruhusiwa kupakia abiria au kushusha katika vituo binafsi na badala yake ameruhusu utaratibu huo kuendelea…