Month: September 2022
Gwajima:Tujadili mfumo bora wa kusaidia watoto ombaomba mitaani
Na Mwandoshio Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kt. Dorothy Gwajima ameitaka jamii kujadili mfumo mzuri wa kuwasaidia watoto wanaoomba mitaani ili misaada hiyo iweze kupelekea watoto hao kutimiza ndoto zao. Gwajima ametoa wito huo…
‘Ukosefu wa mtaji umesababisha kushindwa kufikia ndoto yangu’
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arush Kwa mujibu wa sera ya maendeleo ya wanawake na jinsia ya mwaka 2000, inaonesha kuwa idadi ya wanawake ni kubwa kwa takribani asilimia 52 zaidi ya wanaume ambayo ni asilimia 48 huku wanawake wengi wakiripotiwa kuishi vijijini….
DC Njombe:Msinywe dawa kwa kificho
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Njombe Mkuu wa Wilaya ya Njombe Kissa Kasongwa ametoa wito kwa watu wanaoishi na maambukizi ya virusi vya ukimwi kuacha kuogopa kutumia dawa za kufubaza maambukizi kwa kuwa Serikali imetatua changamoto ya kukosekana kwa dawa hizo huku akiwataka…
Serikali yatambulisha mradi wa mazingira
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Andrew Komba amesema Mamlaka za Serikali za Mitaa zitaongezewa uwezo wa kutambua na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi katika maeneo yao. Amesema hayo wakati wa kikao…
Tanzania kunufaika na dola milioni 100 za mfuko wa uwekezaji Japan
TANZANIA ni miongoni mwa nchi za Afrika zitakazonufaika na fedha za Mfuko wa Kukuza Uwekezaji barani Afrika kutoka Serikali ya Japan zitakazotolewa kuanzia Machi, 2023. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa timu ya Afrika ya KEIZAI DOYUKAI (Japan Association of Corporate…
Dkt. Kiruswa ataka wachimbaji madini kujifunza Nzega
Na Asteria Muhozya,JamhuriMedia, Nzega Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amewataka wachimbaji Wadogo wa madini nchini kujifunza kutoka kwa wachimbaji wa Wilaya ya Nzega kutokana na uthubutu walioufanya kuanzisha maabara za kisasa za kupima mchanga wa madini kabla ya…