JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2022

Msanii Mrisho Mpoto apeperusha vema bendera ya Tanzania

Na Eleuteri Mangi,JamhuriMedia,Burundi Msanii maarufu katika kughani mashairi nchini Tanzania Mrisho Mpoto, maarufu ‘Mjomba’ amepeperusha vema bendera ya Tanzania Tamasha la Tano la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) nchini Burundi. Msanii Mjomba amekonga nyoyo za washiriki…

Waziri Mkenda afanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Venezuela

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda jana tarehe 5 Septemba 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Venezuela Mhe Yuri Pimentel anayeshughulikia maswala ya Afrika. Mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa kituo cha Kimataifa…

Ukarabati kivuko cha MV Tanga wafikia pazuri

Na Alfred Mgweno,JamhuriMedia,Tanga Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme nchini TEMESA inaendelea na utekelezaji wa miradi ya ukarabati wa vivuko nchini ambavyo muda wake wa kukarabatiwa umefika ili viendeelee kutoa huduma vikiwa katika hali ya usalama, katika muendelezo huo,…

‘Tumieni vema msamaha kusalimisha
silaha mnazomiliki kinyume cha sheria’

Na A/INSP Frank Lukwaro,JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amewataka wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kutumia vyema msamaha uliotolewa na Serikali wa kipindi cha miezi miwili kusalimisha silaha haramu kwa hiari katika vituo vya…

Serikali yatangaza kikosi kazi cha ufuatiliaji utoaji mikopo ya elimu

Na Mathias Canal,JamhuriMedia,Dar Timu ya watu watano imeanza kazi rasmi leo tarehe 5 Septemba 2022 ya kufuatilia utoaji mikopo kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2017/2018 hadi mwaka 2021/2022. Timu hiyo itakayofanya kazi ndani ya mwezi mmoja itaongozwa na…