JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2022

Kaya zilizohesabiwa nchini zafikia asilimia 99.99

Kamisaa wa Sensa ya watu na Makazi Anne Makinda akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 06 Septemba 2022 Jijini Dodoma. Amesema kiwango cha kaya zikizohesabiwa nchi nzima limefikia asilimia 99.99 na limehitimishwa rasmi. Kwa upande wa Sensa ya Majengo,…

NMB Jogging mguu sawa ‘Mwendo wa Upendo’

Wakati mbio za NMB Marathon zikitarajiwa kutimua vumbi Septemba 24 mwaka huu, klabu ya NMB Jogging yenyewe jana Jumatatu ilianza kujifua mapema kwa ajili ya kujiweka tayari kushiriki mbio hizo. Jogging hiyo ilianza kujiandaa na mbio hizo kushirikiana klabu ya…

Kinana ahitimisha ziara kwa kuzungumza na wana-CCM Mwanza

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amehitimisha ziara yake mkoani Mwanza kwa kuzunguzumza na wanachama wa Chama hicho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini humo. Mkutano huo ulihudhiriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Katibu…