Month: September 2022
Serikali yapokea bil.13.2/- kupunguza migogoro ya wanyama na binadamu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Ruvuma SERIKALI imepokea Euro milioni 6 sawa na shilingi bilioni 13.2 kutoka Shirika la Ujerumani la GIZ kwa ajili ya mradi wa kupunguza migogoro baina ya binadamu na wanyamapori hasa kwenye maeneo ya pembezoni mwa hifadhi. Hayo yamesemwa…
Tanzania mwenyeji Mashindano ya Dunia ya Urembo kwa Viziwi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya utanashati, urembo na mtindo (Miss & Mister Deaf) kwa watu wenye matatizo ya kusikia ‘Viziwi’. Mashindano hayo yanatarajia kufanyika Oktoba 23 hadi 31 mwaka huu katika Ukumbi…
Koffi Olomide kufanya shoo Jijini Mwanza
Msanii Koffi Olomide maarufu Mopao anatarajia kufanya shoo katika ukumbi wa The Breez Complex ulioko Sabasaba barabara ya kuelekea Kiseke Jijini Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari jana Mratibu wa shoo ya Koffi Olomide Jijini hapa Victor, amesema msanii huyo…