Month: September 2022
Mo Dewji foundation yatoa mil 100 kukabili saratani Muhimbili
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Taasisi ya Mo Dewji Foundation iliyoanzishwa na mfanyabiashara Mohamed Dewji, imetoa msaada wa Sh100 milioni kwa ajili kusaidia matibabu ya watoto wanaosumbuliwa na Saratani. Akikabidhi msaada huo leo jijini Dar es Salaam kwa Taasisi ya Tumaini la…
Prince Charles ndiye mrithi wa Malkia Elizabeth
Wakati tu Malkia amefariki dunia, kiti cha enzi kinapitishwa mara moja bila sherehe yoyote kwa mrithi, Charles, Mkuu wa zamani wa Wales. Lakini kuna hatua kadhaa za kiutendaji – na za kitamaduni ambazo lazima azipitie ili kutawazwa kuwa Mfalme. Moja…
Wasifu wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza
Elizabeth Alexandra Mary Windsor alizaliwa mnamo Aprili 21,1926, katika jumba lililokuwa karibu na Berkeley Square jijini London. Alikuwa kifungua mimba wa Albert, Mwanamfalme Mtawala wa York, aliyekuwa mwana wa pili wa kiume wa George V, na mkewe ambaye zamani alifahamika…
LHRC watoa msaada wa kisheria bure Singida
Na Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Singida KITUO cha Sheria na Haki za Binaadamu (LHRC) kimeanza kutoa bure ushauri wa kisheria kwa wananchi wa mkoa wa Singida. Akizungumza na waandishi wa habari,Wakili Hamis Mayombo amesema zoezi hilo ambalo limeanza jumatatu wiki hii litakuwa la…
‘Waziri Nape sema neno bungeni Mabadiliko ya sheria ya Habari’
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar Wadau wa habari wanasubiri kwa hamu kubwa kuona Serikali ikitimiza ahadi yake ya kuwasilisha Mapendekezo ya Mabadiliko ya Sheria ya Habari bungeni ili kusaidia kupunguza changamoto wanazokabiliwa nazo sekta ya habari. Akifungua mkutano wa wadau wa…