JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2022

Simba yang’ara ugenini Ligi Mabingwa Afrika

Simba SC wameng’ara ugenini baada ya kuwachapa wenyeji Big Bullets bao 2-0 mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika inayopigwa kwenye uwanja wa Taifa Bingu, Malawi. Moses Phiri aliiandika bao la kwanza Simba mnamo dakika…

Wizara ya Maliasili na Utalii kujenga makumbusho ya marais Dodoma

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii imeanza maandalizi ya ujenzi wa Makumbusho kubwa ya Marais wa Tanzania Jijini Dodoma kwa lengo la kuhifadhi Urithi wa mchango mkubwa walioutoa na unaoendelea kutolewa. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na…

Rais Samia amlilia Malkia Elizabeth II

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Malikia Elizaberth II wa nchini Uingereza, kilichotokea jana Alhamisi Septemba 8, 2022 katika visiwa vya Balmoral nchini Scotland alipokuwa anapatiwa matibabu. Katika ukurasa wake wa Twitter, Rais Samia ameandika, “Nimesikitishwa…

TPA yatekeleza agizo la Majaliwa

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imeikabidhi Kampuni ya Huduma za Meli nchini (MSCL) meli tatu zinazotoa huduma katika Ziwa Nyasa ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa lengo la kuziweka meli hizo katika usimamizi…