JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2022

Bolt,Uber kurejesha huduma Tanzania

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arusha Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA), imesema, kampuni za usafiri kwa njia ya mtandao Bolt na Uber zinatarajia kurejea kutoa huduma za usafiri nchini Tanzania. Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Septemba 12, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa…

Waziri Aweso amsimamisha kazi meneja RUWASA Karagwe

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Karagwe Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemsimamisha Kazi Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijini RUWASA Wilaya Karagwe, Mhandisi Magai Kakuru kwa kushindwa kusimamia miradi ya Maji inayoendelea kutekelezwa Wilayani Karagwe. Ametoa agizo hilo Septemba…

NMB yachangia mil.120/- kufanikisha mkutano wa ALAT

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mbeya Benki ya NMB imechangia kiasi cha shilingi milioni 120 kufanikisha maandalizi na kufanyika kwa mkutano mkuu wa 36 wa Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa (ALAT) wa mwaka huu unaonza jijini Mbeya. Akikabidhi mfano wa hundi…