JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2022

Serikali yatangaza mlipuko wa surua,wagonjwa 54 wathibitika

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Waziri Wa Afya Ummy Mwalimu, amethibitisha kuibuka kwa ugonjwa wa surua lubela nchini na kubainisha kuwa mpaka sasa wataalamu wamebaini wagonjwa 54 kutoka mikoa mbalimbali. Hayo ameyasema leo Septemba 15,2022 jijini Dodoma, wakati akizungumza na waandishi wa…

Jamii yatakiwa kuondokana na imani potofu juu ya kifua kikuu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Katavi Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi imeendelea na zoezi la uhamasishaji wananchi juu ya upimaji wa kifua kikuu ili kudhibiti maambukizi ya ugonjwa huo hasa kwa watoto wadogo walio na umri chini ya miaka mitano. Akizungumza katika mkutano…

Tanzania, Congo zasaini makubaliano kuboresha sekta ya ulinzi

Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrsai ya Kongo(DR CONGO) zimetiliana saini ya makubaliano katika ushirikiano wa kuboresha sekta ya ulinzi ikiwa ni sehemu ya kuendeleza mahusiano mema yaliyopo baina ya Mataifa hayo. Akizungumza jana  baada ya zoezi la kusaini hati ya…

Askari 300 wamwagwa Dar kupambana na ‘Panya Road’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar ASKARI 300 wameongezwa katika Mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya kuimarisha msako wa kuwatafuta na kuwakama wahalifu maarufu kwa jina la ‘Panya Road’. Hayo yamebainisha leo Septemba 15, 2022 na Mkuu wa Mkoa wa Dar…

Mke ajinyonga baada ya mumewe kumtuhumu kuiba 10,000/-

Na Mwandishi Wetu,Jamhurimedia Asia Kibishe (27),mkazi wa Kijiji cha Nyarututu,wilayani wilayani Chato Mkoa wa Geita amejinyonga kwa kipande cha kanga kwa madai mumewe Fabian Shija (23) Mkazi wa Nyarututu,kumtuhumu kuiba sh,10,000. Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi, Septemba 15,…

Bwawa Nyumba ya Mungu kufungwa Machi 2023

Na Kija Elias,JamhuriMedia,Mwanga Wadau wanaoshughulika na uvuvi katika Bwawa la Nyumba ya Mungu wa wilaya za Simanjiro, Moshi Vijijini na Mwanga, wamependekeza kufungwa kwa Bwawa hilo kwa kipindi cha miezi mitatu kutokana na kukithiri kwa uvuvi haramu. Uamuzi wa kufungwa…