Month: September 2022
Kinana atamani viongozi kuitwa ndugu na sio Mheshimiwa
Na Mwandishi Wetu,Jamhurimedia,Dar Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amewahamasisha viongozi wa Chama hicho kwa ngazi mbalimbali kujenga utamaduni wa kuwatembelea na kuwatambua viongozi wa Shina, Tawi na Kata pamoja na kushiriki vikao vya Chama…
Bashungwa asisitiza maelekezo ya Serikali kuhusu wafanyabiashara
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amewasisitiza Wakuu wa Mikoa kuendelea kushirikiana na Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Majiji na Manispaaa kuendelea na zoezi la kutafuta maeneo rafiki ya kujenga…
Wananchi Monduli waomba uzio kulinda vyanzo vya maji
Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Monduli Wananchi wa Kata ya Selela na Engaruka wilayani Monduli mkoa Arusha,wameomba serikali kuwasaidia kuweka uzio katika vyanzo vya maji vya asili katika maeneo yao ili visiendelee kuharibiwa na wanyamapori. Kata hizo zina vyanzo vya maji vya asili ambazo…
SIKU YA DEMOKRASIA DUNIANI
‘Tusubiri maoni,mapendezo juu ya marekebisho ya Sheria na Kanuni’ Na Rais Samia Suluhu Hassan Mwaka 2007, Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ulifanya uamuzi wa kuzitaka nchi duniani kuadhimisha siku ya Demokrasia kila ifikapo tarehe 15 Septemba, ya kila mwaka….
Mifugo vamizi changamoto ya uhifadhi nchini
Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),tarehe 14 Septemba 2022 imefanya ziara ya kutembelea Hifadhi ya Taifa Ruaha mkoani Iringa kujionea athari za uvamizi wa mifugo katika eneo la Bonde la Ihefu . Katika ziara hiyo,…
Rais Samia amlilia DED wa Igunga
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga (DED), Fatma Omar Latu pamoja na dereva wake.