JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2022

Uzazi wa mpango na afya ya uzazi Tanzania

Na Stella Aron, JamhuriMedia Huduma za kupanga uzazi ni moja ya afua mtambuka zinazopewa kipaumbele hasa katika huduma za kinga za afya.  Huduma hizo za ni muhimu katika kufikia malengo makuu ya afya hasa katika afya ya uzazi na mtoto….

Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari mlipuko wa Ebola

Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari juu ya mlipuko wa janga la Ebola ambao unaripotiwa kutokea nchi jirani ya Uganda huku wakitakiwa kuondokana na safari zisizo za lazima ili kuepukana na ugonjwa huo. Hayo yamesemwa jijini Arusha na Rais wa Chama cha…

TAUS:Kuna uhaba wa madaktari bingwa wa upasuaji maradhi ya mkojo,uzazi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Arusha Tanzania inakabiliwa na uhaba wa madaktari bingwa wa upasuaji wa maradhi ya njia ya mkojo na uzazi ambapo waliopo ni 100 tu ambao hawakidhi mahitaji kulingana na idadi ya wagonjwa hao waliopo. Hayo yamesemwa jijini Arusha…

Tanzania yaanza kufikia mabadiliko endelevu ya kidijitali

Na Innocent Mungy,JamhuriMedia,Bucharest Tanzania inatekeleza mfumo wa Taifa wa Uchumi wa Kidijitali, ambao utahakikisha sekta zote za uchumi zinatumia TEHAMA huku ikiwezesha mabadiliko ya kidijitali yanayojenga jamii jumuishi ya kidijitali kwa ajili ya maendeleo endelevu. Hayo yalisemwa na Mheshimiwa Nape…