JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2022

BREAKING NEWS: Polisi yaua sita ‘Panya Road’ katika mapambano makali

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limefanikiwa kuwaua wahalifu sita maarufu kama ‘Panya Road’ waliokuwa wakielekea eneo la Goba kufanya uhalifu jana. Kamanda wa Polisi wa Kanda maalum, Jumanne Muliro amesema hayo leo 18,2022, wakati akizungumza na waandishi…

Mfuko wa Maendeleo Jamii waanza kutoa mkopo kwa kijana mmoja mmoja

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri- Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amesema kuwa serikali imeendelea kufanya jitihada za kuweka mazingira wezeshi kwa vijana kuweza kujikwamua kiuchumi kwa kutoa mikopo kwa kijana…

Upatikanaji chakula shuleni kuongeza afya ya akili

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imesema kuwa ili kupata matokeo mazuri ya elimu ni lazima kuhakikisha upatikanaji wa lishe bora shuleni ili kuwajengea wanafunzi afya bora na kupata utulivu wa akili wawapo madarasani. Akizungumza jijini…

Yanga,Kipanga watinga raundi ya kwanza Ligi ya Mabingwa

Timu ya Yanga SC imetinga raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa barani Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Zalan FC kutoka Sudan Kusini mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika…