JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2022

Vijiji 20 Longido vyatenga hekta 186.794 kwa malisho

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arusha Vijiji 20 kati ya 49 Wilayani Longido, Mkoa wa Arusha, vimetenga eneo la hekta 186.794.2 kwa ajili ya nyanda za malisho ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Katika wilaya hii, asilimia 95 ya wakazi…

Makamu wa Rais azungumza na Watanzania waishio Marekani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya watanzania waishio Jijini New York nchini Marekani, Mazungumzo yaliofanyika katika Ukumbi wa Ubalozi wa Tanzania Jijini New York. Akizungumza na Watanzania…

BASATA: Hatupo kwa ajili ya kufungia kazi ya msanii

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA),limewakumbusha wasanii kuwa hawana lengo la kufungia kazi ya msanii bali wapo Kwa ajili ya kuzungumza na kurekebisha kazi ili kuikuza tasnia ya Sanaa kwa mapana. Akizungumza kauli hiyo Katibu Mtendaji wa…

Kewanja FC yaibuka kidedea Kombe la Mahusiano Barrick North Mara

Timu ya Kewanja FC imetwaa ubingwa wa Mashindano ya Soka ya Kombe la Mahusiano “Mahusiano Cup” baada ya kuichapa Murito FC bao 1-0 katika mchezo wa fainali. Fainali hiyo ilichezwa kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Ingwe mjini Nyamongo…