JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2022

Kifo kingine chahusishwa na Ebola Uganda

Wizara ya Afya ya Uganda inasema mtoto wa mwaka mmoja anashukiwa kufariki kutokana na Ebola katika wilaya ya kati ya Mubende siku ya Jumanne. Alikuwa miongoni mwa watu kumi na moja waliowekwa karantini kufuatia kisa kilichothibitishwa cha mwanamume mwenye umri…

Unyama!Mume amuua mke na kumtumbukiza kisimani

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tabora JESHI la Polisi Mkoani Tabora linamshikilia Ali Idd Mkonongo, mkazi wa Kijiji cha Inala kata ya Ndevelwa, katika Halmashauri ya Manispaa Tabora, kwa tuhuma za kumuua mke wake, aliyetambulika kwa jina la Mariam Yusuph, kwa kumpiga na…

TMA yatoa angalizo la upepo mkali unaofikia kilomita 40

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),imetoa angalizo la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa kwa baadhi ya maeneo ya Ziwa Nyasa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA imesema kuwa tahadhari hiyo inaanza leo huku…

Akamatwa akisafirisha gunia 10 za mirungi

Na Abel Paul,JamhuriMedia,Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja anayesafirisha madawa ya kulevya aina mirungi katika Jiji la Arusha. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Kamishina wa msaidizi wa Polisi ACP ,Justine Masejo, amesema kuwa Septemba…

Serikali yaweka mikakati kudhibiti viashiria vyote vya uvunjifu wa amani

. ……………………………….. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watendaji wote Serikalini kuweka mkakati wa kudhibiti viashiria vyote vya uvunjifu wa amani katika maeneo yao. Majaliwa amesema lengo la agizo ni kusisitiza utekelezwaji wa maono na dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan…