Month: September 2022
Idadi ya mapato ya watalii nchini yazidi kuongezeka
Idadi ya mapato yatokanayo na utalii imeongezeka kutoka Dola za Kimarekani milioni 714.59 kwa mwaka 2020 hadi kufikia Dola za Kimarekani milioni 1,310.34 kwa mwaka 2021. Taarifa hiyo imetolewa leo Ijumaa Septemba 30, 2022 Jijini Arusha na Mwenyekiti wa Kamati…
Mtoto wa mwezi mmoja afanyiwa upasuaji hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mtwara
Na Mwandishi Wet,JamhuriMedia,Mtwara Mtoto wa mwezi mmoja (Sinaini Mussa Kalokole) amefanyiwa upasuaji wa kichwa katika hospitali ya rufaa ya kanda Mtwara kwa ushirikiano kati ya Madaktari bingwa wa MOI pamoja na wa hospitali hiyo (SZRH). Upasuaji huo ni sehemu ya…
Tanzania, India kuongeza ushirikiano sekta ya filamu
Serikali ya Tanzania pamoja na Serikali ya India zimekubaliana kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano ikiwemo sekta ya filamu. Akifungua Mkutano wa Kimataifa wa Ushirikiano baina ya Tanzania na India leo Jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na…
Watano wahukumiwa kunyongwa hadi kufa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora nchini Tanzania, leo Ijumaa Septemba 30, 2022 imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa watano ambao ni wakazi wa Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora. Ni baada ya kuwatia hatiani kwa kosa…
Lions yamkabidhi Ridhiwani vifaa tiba vya Mil. 5 /-
Na Omary Mngindo, TimesMajira Online,Ruvu Taasisi ya Lions Club imemkabidhi vitanda na vifaa tiba Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete, vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 4.9. Katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Zahanati ya…