JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2022

Wabunge wakumbushwa kutekeleza kwa wakati ahadi zao

Na Is-Haka Omar,JamhuriMedia,Pemba NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dk.Abdulla Juma Mabodi, amewataka Wabunge, Wawakilishi na Madiwani kutekeleza kwa wakati ahadi walizotoa kwa wananchi katika kampeni za uchaguzi uliopita. Wito huo ameutoa katika ziara yake ya kuimarisha Chama Cha…

Kawishe bilionea mpya wa Tanzanite

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaa,Mirerani MCHIMBAJI wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Anselim Kawishe ametangazwa kuwa bilionea mpya wa madini ya Tanzanite. Kawishe amekuwa bilionea mpya baada ya kupata vipande viwili vya madini hayo vya…

Mkutano wa nane wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD

Mkutano wa 8 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kimataifa kuhusu Maendeleo ya Japan na Afrika (Tokyo International Conference on African Development – TICAD 8 Summit) umeanza kufanyika leo tarehe 27 Agosti 2022 mjini Tunis, Tunisia. Hii ni mara…

Waziri Aweso amuondoa meneja RUWASA Kondoa

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemuondosha katika nafasi ya Meneja wa RUWASA Wilaya Kondoa Mhandisi Falaura Suleiman Kikusa kwa kushindwa kumudu majukumu yake kikamilifu. Waziri Aweso akiwa Wilayani Kondoa amebaini kuwa Meneja huyo wa Maji Vijijini Wilaya amefanya usanifu wa…